Kamati ya Fedha na Utawala ni miongoni mwa Kamati za Kudumu za Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Kamati hii inahusika na usimamizi wa shughuli za Fedha na Utawala katika Halmashauri. Kamati hii hukutana mara moja kila mwezi.
Angalia orodha ya Wajumbe wa Kamati Bofya hapa: Fedha na Utawala 2018/2019
Angalia orodha ya Wajumbe wa Kamati Bofya hapa:Fedha na Utawala 2017/2018.pdf
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.