• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Wakurugenzi watakiwa kusimamia makusanyo ya halmashauri

Imewekwa tarehe: May 10th, 2024

WAKURUGENZI wa Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kusimamia makusanyo kupitia vyanzo mbalimbali vilivyo kwenye maeneo yao ili kuwezesha Serikali kutoa huduma kwa wananchi.

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI Adolf Nduguru wakati akifungua mafunzo ya siku tatu kwa wakurugenzi kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa kote nchini nchi yanayofanyika kwenye Chuo cha Uongozi Mwl. Julius Nyerere kilichopo Kwa Mfipa - Kibaha mkoank Pwani.

Aidha katika hotuba yake ya ufunguzi, Ndunguru amewasisitiza Wakurugenzi hao kuhakikisha wanasimamia miradi ya maendeleo ili pesa zinazotolewa na Serikali kwa kazi hiyo zilete tija kwa umma.

 Hakikisheni pesa zinazotengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo mnazipeleka mapema na kuzisimamia ili zifanye kazi kulingana na matakwa ya Serikali ili kuwaondolea wananchi changamoto, » amesema.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Sospiter Mtwale amesema Serikali imeona kuna umuhimu wa kuwapa mafunzo ya utendaji kazi wakurugenzi hao ikiamini kuwa wataongeza tija na ufanisi.

 Mada zitakazotolewa wakati wa mafunzo haya ni pamoja na masuala ya rushwa na ubadhirifu katika mamlaka za Serikali za mitaa, mambo muhimu katika maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwelekeo wa utoaji wa mikopo kwa vikundi vya wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu » amesema.

Akizungumzia mafunzo hayo, Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Itigi Justuce Kijazi amesema kuwa mafunzo hayo yatawaongezea tija ya utendaji wa kazi na faida nyingine watakayopata ni kubadilishana uzoefu wa Kufanya kazi hasa kupitia changamoto watakazoziwasilisha kwenye kikao kazi hicho.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.