Imewekwa tarehe: January 23rd, 2026
Na OWM- TAMISEMI, Dodoma
Tathmini ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa mwaka wa fedha 2024/25 imeonesha mafanikio makubwa, ambapo rangi ya kijani imetawala katika viashiria vingi vya utekelezaji,...
Imewekwa tarehe: January 20th, 2026
Na OWM - TAMISEMI, Morogoro
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewataka Maafisa Utumishi walio katika Sekretarieti ...
Imewekwa tarehe: January 18th, 2026
Na. OWM – TAMISEMI
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dkt. Jafar Seif, amesema anakusudia kuzunguka nchi nzima kuzungumza na...