Imewekwa tarehe: April 23rd, 2025
Na. Abdul Juma, MIYUJI
Diwani wa Kata ya Miyuji, Beatrice Ngerangera amesema ujenzi wa Barabara ya kilometa sita ya kutoka Miyuji hadi Ipagala umesaidia kufikisha huduma za kijamii kwa wananchi na ...
Imewekwa tarehe: April 22nd, 2025
Na. Leah Mabalwe, NALA
Shule ya Sekondari Nala imefanikiwa kupandisha kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi kutokana na utekelezaji wa dhamira ya serikali ya awamu ya sita wa kuhakikisha wanafunzi...
Imewekwa tarehe: April 22nd, 2025
Na. Leah Mabalwe, NALA
Ujenzi wa mradi wa Maji Nala unaotekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kwa gharama ya shilingi bilioni 1.3 kutatua changamoto ya upatikanaji...