Imewekwa tarehe: March 29th, 2023
WIZARA ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imetakiwa kuhakikisha inatenga bajeti mahususi kwa ajili ya kutoa elimu ya TEHAMA nchini.
Rai hiyo imetolewa na Selemani Kakoso (Mb) ambaye ni ...
Imewekwa tarehe: March 28th, 2023
WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia hakuna wagonjwa wapya wa Marburg walioripotiwa licha ya kupokea tetesi sehemu mbalimbali mkoani hapa.
Hayo ameyasema alipokuwa anazungumza na waandi...
Imewekwa tarehe: March 27th, 2023
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe amewataka waratibu wa Malaria nchini kuongeza ubunifu na kuweka mikakati itakayosaidia kutokomeza ugonjwa wa Malaria nchini.
Dkt. Shekalaghe amese...