Imewekwa tarehe: April 22nd, 2025
Na. Coletha Charles, KIZOTA
WANANCHI wa Kata ya Kizota, Halmashauri ya Jiji la Dodoma, wanufaika na mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Kizota kilichogharimu kiasi cha shilingi 500,000,000.
Diwani...
Imewekwa tarehe: April 21st, 2025
Na. Abdul Juma, DODOMA MAKULU
Ujenzi wa Barabara ya kilometa 5.2 inayounganisha Kata ya Dodoma Makulu na Ntyuka kutatua changamoto ya usafi kwa kata hizo na kufanya maisha ya wananchi kuwa bora....
Imewekwa tarehe: April 20th, 2025
Na. Abdul Juma, DODOMA MAKULU
Mkopo wa mapato ya ndani wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma usio na riba wa shilingi 328,800,000 umewawezesha wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kujikwamua kiu...