Imewekwa tarehe: July 1st, 2022
MADAKTARI katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamefanikisha upasuaji wa kuwatenganisha watoto pacha walioungana kifuani Rehema na Neema.
Upasuaji huo uliodumu kwa saa 7, ulioanza saa 3 asubuh...
Imewekwa tarehe: June 30th, 2022
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha waliozaliwa wameungana sehemu ya kifua, tumbo na ini (lakini kila mtoto ana ini lake), upasuaji huo unategemewa kufan...
Imewekwa tarehe: June 30th, 2022
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amewashauri Wazazi na Walezi kuwakatia Bima ya Afya watoto (Afya Toto Card) kwa ajili ya kuwaondolea gharama za matibabu pindi wanapougua ama kupata matatizo ya kiafya.
...