Imewekwa tarehe: February 17th, 2022
OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inafanya tathimini nchi nzima ili kuangalia namna bora ya matumizi ya fedha za asilimia 10 za halmashauri kwa ajili ya mikopo ya wanawake,...
Imewekwa tarehe: February 17th, 2022
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dodoma limepitisha kwa kauli moja bajeti ya Halmashauri hiyo kwa mwaka wa fedha 2022/2023 katika mkutano uliofanyika Februari 17, 2022 katika ukumbi mkuu w...
Imewekwa tarehe: February 16th, 2022
JUMLA ya mitaa 222 iliyopo ndani ya kata 41 za halmashauri ya Jiji la Dodoma, zinatarajiwa kuwekewa anuani za makazi ili kurahisisha utoaji wa huduma mbalimbali za kimawasiliano, kiusalama, kiuchumi i...