Imewekwa tarehe: August 4th, 2024
NAIBU Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) amesema Wizara imedhamiria kuwawezesha vijana katika Sekta ya Kilimo kwa kuwapatia zana mbalimbali ikiwemo matrekta ili waweze kulima kwa tija.
Mhe. ...
Imewekwa tarehe: August 4th, 2024
NAIBU Waziri wa Kilimo, Mhe. David silinde (Mb), ameshiriki katika Kongamano la Vijana na Wanawake kwenye Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nane Nane 2024 katika Viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma .
...
Imewekwa tarehe: August 3rd, 2024
TEMBELEA Banda la Dodoma Jiji ndani ya Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati kupata fursa ya kujifunza na kupata taarifa zaidi kuhusu zao la KAROTI NYEUPE ambayo ni kubwa kuliko Muhogo. Karoti nyeu...