Imewekwa tarehe: September 10th, 2021
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 50 ambazo zitatumika kununua mahindi kutoka kwa wakulima ili kuwanusuru na kudodora kwa bei ya zao...
Imewekwa tarehe: September 10th, 2021
Na. Mary Gwera, Mahakama
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma leo amemuapisha rasmi Mtendaji Mkuu mpya wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi...
Imewekwa tarehe: September 10th, 2021
WAZIRI wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameidhinisha shilingi bilioni 207 kwa ajili ya kuhakikisha maji salama yanapatikana...