Imewekwa tarehe: June 5th, 2021
WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo mbioni kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa uzalishaji wa gesi asilia ya kimimika (LNG) mkoani Lindi utakaogharimu dola za kimarekani bilioni 3...
Imewekwa tarehe: June 5th, 2021
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini Mhe. Anthony Mavunde ameanza kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo katika shule za Msingi na Sekondari za Jiji la Dodoma akilenga kukuza michezo na kuwaandaa wan...
Imewekwa tarehe: June 4th, 2021
Na Noelina Kimolo.
MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma Joseph Mafuru wiki iliyopita amezindua maktaba ya kisasa katika shule ya sekondari Ihumwa mara baada ya kukabidhiwa jengo hilo na taasisi ya Karimjee...