Imewekwa tarehe: January 6th, 2026
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Jiji la Dar es Salaam amesimamishwa kazi kwa agizo la Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Mhe. Reuben Kwagilwa (Mb), kwa niaba ...
Imewekwa tarehe: January 4th, 2026
Na James Mwanamyoto - Lushoto
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amemuelekeza Mkandarasi Namis Cooperate Limited...
Imewekwa tarehe: January 3rd, 2026
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Dkt. Jafar Seif, amesema kwa sasa TAMISEMI imewekeza nguvu kwenye uboreshaji wa huduma kwa wateja katika vituo ...