Imewekwa tarehe: May 23rd, 2021
WITO umetolewa kwa wazazi kuwapa nafasi Watoto washiriki kwenye michezo, kwa kuwa michezo ina faida kubwa kwenye makuzi na maendeleo yao kielimu.
Hayo yamesemwa na Afisa Elimu ya Sekondari wa Jiji ...
Imewekwa tarehe: May 21st, 2021
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 21, 2021 amekabidhi jumla ya magari 184 kwa Maafisa Elimu wa Halmashauri ikiwa ni mkakati wa Serikali ya awamu ya sita ya kuendelea kuboresha sekta ya elimu nchini,...
Imewekwa tarehe: May 20th, 2021
MCHEZO wa Ihefu dhidi ya Dodoma Jiji leo umemalizika kwa Dodoma Jiji kupoteza mchezo huo kwa kufungwa goli moja bila kwa mkwaju wa penati ambayo imelalamikiwa vikali na wadau wa soka kutokana na penat...