Imewekwa tarehe: November 23rd, 2020
WADAU wa uwekezaji katika nyanja ya hoteli wametembelea eneo la uwekezaji la Njedengwa Jijini Dodoma mwishoni mwa wiki iliyopita ambalo pamoja na kuwa na viwanja vya ujenzi wa taasisi, pia kuna viwanj...
Imewekwa tarehe: November 22nd, 2020
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekabidhi Shilingi milioni mia moja (100,000,000) kwa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road kutoka Benki ya NBC.
Mchango huo...
Imewekwa tarehe: November 21st, 2020
MKURUGENZI wa huduma za kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi amesema kuwa, asilimia 63.7% ya kaya zote nchini Tanzania zimefanikiwa kuwa na vyoo bora kwa...