Imewekwa tarehe: December 4th, 2020
JOPO la wawekezaji wa makampuni mbalimbali kumi na tatu (13) kutoka nchini Austria wamekutana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge kwa ajili ya kutafuta maeneo ya uwekezaji katika sekta za ...
Imewekwa tarehe: December 2nd, 2020
Watumishi wa kada ya afya nchini wameaswa kuhakikisha wanadhibiti vifo vitokanavyo na uzazi na watoto wachanga kwa kuwajibika ipasavyo wakiwa kazini na kuepukana na tabia za uzembe.
Kauli hiyo imet...
Imewekwa tarehe: December 2nd, 2020
Watumishi mkoani Geita wameshauriwa kuchangamkia fursa za uwekezaji katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma ili kujenga na kukuza uchumi wao na taifa kwa ujumla.
Kauli hiyo ilitolewa na kaimu Katibu T...