Imewekwa tarehe: October 3rd, 2020
KATIKA kuendeleza soka la Tanzania na kufikia hadhi ya kimataifa, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania( TFF) limesaini mkataba na kampuni ya Group Six International Ltd ili kujenga vituo bora vya mpi...
Imewekwa tarehe: October 2nd, 2020
TIMU ya Dodoma Jiji FC leo imedhihirisha ubabe wake katika dimba lake la nyumbani Jamhuri Jijini Dodoma baada ya 'kuipapasa' timu ya Ruvu shooting kwa kuifunga magori 2 - 0.
Mchezo ulianza kwa kila...
Imewekwa tarehe: October 2nd, 2020
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeendelea kufanya afua ya upuliziaji wa viuadudu vya kuangamiza viluwiluwi wa mbu waenezao ugonjwa wa Malaria kwa awamu ya tatu, zoezi lililoanza tarehe 28/09/2020...