Imewekwa tarehe: May 22nd, 2020
Mikakati ya kufikisha elimu juu ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF iliyoboreshwa) kwa wananchi imetajwa na kuwekwa wazi kwa wananchi wote wa mkoa wa Dodoma.
Hayo yalisemwa na Mratibu wa Mfuko wa Afya y...
Imewekwa tarehe: May 22nd, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge amewahimiza wananchi wa Dodoma kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii (CHF iliyoboreshwa) ili iwasaidie kupata huduma bora za matibabu kwa gharama nafu...
Imewekwa tarehe: May 21st, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kuwa vyuo vikuu vyote nchini vitafunguliwa kuanzia Juni 1, 2020.
Wanafunzi wa kidato cha sita nchini nao ambao wanakaribi...