Imewekwa tarehe: December 1st, 2019
JAMII imetakiwa kuwa chachu ya mapambano dhidi ya UKIMWI katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma ili kufikia asilimia sifuri ya maambukizi.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la...
Imewekwa tarehe: November 30th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeanza utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli la kuwalipa wananchi zaidi ya 1,500 ambao ardhi yao ilitwaliwa kupisha uje...
Imewekwa tarehe: November 29th, 2019
Wito umetolewa kuzingatia maelekezo yatakayotolewa na Tume ya uchaguzi ili Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kata waweze kutekeleza zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura...