Imewekwa tarehe: April 3rd, 2024
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema katika kipindi cha mwaka wa fedha 2023/24 Serikali imetenga Sh Bilioni 1.7 hadi kufikia Februari 2024 kiasi cha Sh Bilioni 1.15 ki...
Imewekwa tarehe: April 2nd, 2024
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Festo Dugange amesema Serikali imeanza kufanya ukarabati wa shule chakavu nchini ikiwemo zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto ambapo katika mwaka wa fe...
Imewekwa tarehe: April 1st, 2024
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imetengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji na kuwavutia wenye viwanda kuwekeza Halmashauri ya Jiji...