Imewekwa tarehe: August 27th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imesaini mikataba ya ujenzi wa miradi ya kimkakati yenye thamani ya shilingi bilioni 69.29 katika jitihada zake za kuelekea kujitegemea kimapato.
Kauli hiyo ilitolewa ...
Imewekwa tarehe: August 26th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma kesho tarehe 27/08/2019 inatarajia kusaini mikataba ya ujenzi wa miradi miwili ya vitegauchumi yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 68, tukio hilo litashuhudiwa na ...
Imewekwa tarehe: August 24th, 2019
Dodoma sasa ni jiji na maeneo mengi yamepimwa, na kazi ya upimaji na upangaji mji inaendelea. Kwa hiyo hatuna budi kuhakikisha maeneo ya jiji sasa yanakuwa safi.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Idara ya ...