Imewekwa tarehe: September 30th, 2019
Kichaa cha Mbwa ni ugonjwa wa kuambukiza unaoathiri mfumo wa kati wa fahamu yaani ubongo na Ugwe mgongo na kupelekea kupooza, kupoteza fahamu au kifo. Ugonjwa huu ni hatari na husabishwa na virusi vii...
Imewekwa tarehe: September 28th, 2019
Taasisi ya DOYODO kwa kushirikiana na shirika la MULIK-Tanzania, YUNA-Tanzania na The Green Icon wameadhimisha siku ya mabadiliko ya Tabia ya Nchi jijini Dodoma.
Mgeni rasmi wa maadhimisho ha...
Imewekwa tarehe: September 28th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeingiza viwanja 31 vya kimkakati sokoni kwa njia ya mnada ili kuweka uwazi katika zoezi la uuzaji viwanja hivyo na kuepuka mianya ya rushwa.
Kauli hiyo ilitolewa na ...