Imewekwa tarehe: August 15th, 2019
Ni saa nane kasoro usiku hapa kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Chang'ombe ambapo kunafanyika mkesha wa Mwenge wa Uhuru. Mamia ya wakazi wa jiji la Dodoma wamejitokeza kukesha na kushiriki burudani.
...
Imewekwa tarehe: August 14th, 2019
MWENGE wa Uhuru umeweka jiwe la msingi ujenzi wa shule ya ya mfano Ipagala baada ya kuridhishwa hatua ya ujenzi wa shule hiyo.
Jiwe hilo la msingi liliwekwa baada ya kiongozi wa mbio za Mwenge wa...