Imewekwa tarehe: August 9th, 2019
MIKOA ya Dodoma na Singida imetakiwa kuweka utaratibu wa kuvuma maji ya mvua ili yatumike katika shughuli za kilimo na kupunguza utegemezi wa mvua.
Kauli hiyo ilitolewa na mgeni rasmi katika kilele...
Imewekwa tarehe: August 8th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeibuka mshindi wa kwanza kwa Halmashauri za Mkoa wa Dodoma katika Maonesho ya Nanenane mwaka 2019 na kuzawadiwa cheti na mgeni rasmi katika sherehe za kufunga maonesho ...
Imewekwa tarehe: August 7th, 2019
MAMLAKA za serikali za mitaa katika mikoa ya Dodoma na Singida zimetakiwa kuhakikisha mabanda yao yanakuwa ‘live’ katika uwanja wa maonesho wa Nanenane kwa kipindi cha mwaka mzima ili kutoa fursa kwa ...