Imewekwa tarehe: September 26th, 2018
HALMSHAURI ya Jiji la Dodoma inatarajia kujiendesha kwa kujitegemea kwa asilimia mia ifikapo mwaka 2022, ikiwa ni pamoja na kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kutumia makusanyo yake ya ndani.
Hayo ...
Imewekwa tarehe: September 21st, 2018
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imewataka wafanyabiashara wote wasio na mikataba ya pango kwenye masoko ya Jiji kufika katika Ofisi za Jiji hilo kwa ajili ya kupatiwa mikataba halali wanayotakiwa kuwa n...
Imewekwa tarehe: September 17th, 2018
Kata ya Kizota imepata Diwani kufuatia uchaguzi mdogo uliofanyika jana Jumapili Septemba 16, 2018 ambapo mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jamal Ngalya ameshinda nafasi hiyo.
Awali, Ngalya aliku...