Imewekwa tarehe: March 12th, 2019
SERIKALI imewapongeza watawa wanaosimamia watoto yatima wa kituo cha Nyumba ya Matumaini kilichopo Kata ya Miyuji Halmashauri ya jiji la Dodoma kwa kazi ya kulea watoto hao.
Pongezi hizo zilitolewa...
Imewekwa tarehe: March 6th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma kupitia Idara ya Kilimo imeainisha vijana 100 ambapo kati yao vijana 20 wenye uzoefu wa ufundi wa ujenzi wa nyumba, useremala au uchomeleaji wamepatiwa mafunzo ya kujenga...
Imewekwa tarehe: March 4th, 2019
WAKAZI wa Jiji la Dodoma wameshauriwa kufikisha kero na malalamiko yao mbalimbali yanayohusu huduma zinatolewa na Halmashauri katika Ofisi za Kata na Mitaa badala ya kwenda moja kwa moja Ofisi Kuu za ...