Imewekwa tarehe: June 16th, 2018
Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika kwa Mkoa wa Dodoma yamefanyika leo Juni 16, 2018, katika viwanja vya Shule ya Msingi Kikuyu Kusini iliyopo Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Mgeni rasmi katika S...
Imewekwa tarehe: June 7th, 2018
Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), inawataka wanachama wote wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kuhakikisha kuwa wana vitambulisho vya Taifa (National Identity Card).
Kw...
Imewekwa tarehe: June 5th, 2018
NAIBU Meya wa Halmshauri ya Jiji la Dodoma Jumanne Ngede ametoa wito kwa kila mkazi wa Jiji hilo kuhakikisha anatunza Mazingira kwa kupanda miti katika maeneo yanayomzunguka ili kuunga mkono juhudu za...