Imewekwa tarehe: October 21st, 2018
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) leo Jumapili Oktoba 21 amefanya ziara ya kikazi katika Jiji la Dodoma ambapo alipata nafasi ya kuzungumza na watumishi wa Halmashauri ya Jiji na watumishi kutoka ...
Imewekwa tarehe: October 11th, 2018
Katika kutekeleza agizo la Makamu wa Rais mama Samia Suluhu Hassan, juu ya kutunza mazingira, wataalam wa mazingira kutoka jiji la Dodoma kwa kushirikiana na viongozi wa kata ya Ntyuka, leo wamefanya ...
Imewekwa tarehe: October 9th, 2018
UJUMBE wa watu 41 wakiwemo Madiwani na wataalam wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela iliyopo Mkoani Mwanza umeanza ziara ya siku mbili katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma jana Oktoba 8, 2018 kwa len...