Imewekwa tarehe: June 25th, 2018
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeanza rasmi zoezi la siku 5 la kutoa huduma ya matatibu kwa wagonjwa mbalimbali kwa mfumo wa Hospitali Tembezi linalofanyika katika Hospitali Teule ya Wilaya Mtakatifu ...
Imewekwa tarehe: June 21st, 2018
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma inatarajia kutoa takribani shilingi milioni 500 kwa ajili ya kukopesha vikundi vya Wajasiriamali Wanawake na Vijana kwa mwaka wa fedha unaomalizika Mwezi Juni, 2018.
J...
Imewekwa tarehe: June 16th, 2018
Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika kwa Mkoa wa Dodoma yamefanyika leo Juni 16, 2018, katika viwanja vya Shule ya Msingi Kikuyu Kusini iliyopo Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Mgeni rasmi katika S...